forked from WA-Catalog/sw_tn
17 lines
481 B
Markdown
17 lines
481 B
Markdown
|
# Taarifa ya
|
||
|
|
||
|
Mwandishi anazungumza na Yahwe
|
||
|
|
||
|
# Kwa yeyote aliye mwaminifu
|
||
|
|
||
|
Hapa "mwaminifu" inamaanisha kufanya kile ambacho Mungu anamuamuru mtu kufanya. "kwa wale walio wanaotii kwa uaminifu amri zako" au "kwa wale wanaofanya agano lako kwa uaminifu"
|
||
|
|
||
|
# kwa mwanamme asiye na lawama ... ujioneshe msafi
|
||
|
|
||
|
Vishazi hivi viwili vina maana ya kufanana. Mwandishi anarudi mawazo haya kwa ajili ya mkazo.
|
||
|
|
||
|
# una akili kwa yeyote aliye mkaidi
|
||
|
|
||
|
"Unamshinda kwa akili yeyote asiye wazi"
|
||
|
|