sw_tn/psa/012/006.md

21 lines
424 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kama shaba iliyosafishwa kwenye tanuu duniani, kusafishwa mara saba
Maneno ya Yahwe yanalinganizhwa na shaba iliyosafishwa. "wako bila kasoro"
# Unawatunza
"Unawatunza watu wenye haki"
# wanatembea kila upande
"wametuzunguka"
# wakati uovu unapotukuzwa miongoni mwa watoto wa wanadamu
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "wakati watu kila sehemu wanasifu uovu"
# watoto wa wanadamu
"binadamu" au "watu"