forked from WA-Catalog/sw_tn
5 lines
242 B
Markdown
5 lines
242 B
Markdown
|
# hakuna udhalimu mikononi mwangu
|
||
|
|
||
|
Mikono inaashiria jambo analofanya mtu. Kuwa na udhalimu juu yake inamaanisha kuwa amefanya kitu kisicho cha haki. "hakuna udhalimu ni kile nilichofanya" au "sijafanya chochote kisicho cha haki kwa yeyote"
|
||
|
|