sw_tn/pro/16/17.md

17 lines
212 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Njia kuu ya watu waadilifu
"njia ya haki ambayo watu waadilifu huishi "
# kuacha uovu
"kuwalinda kutoka katika kutenda mabaya"
# moyo wa kiburi
"tabia ya majivuno"
# anguko
"maangamizi" au " kushindwa"