sw_tn/num/29/35.md

17 lines
336 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa ujumla
BWANA anaendelea kumwambia Musa kile ambacho watu wanatakiwa kufanya wakati wa sikukuu za mwezi wa saba.
# siku ya nane
siku ya 8
# mtakuwa na kusanyikok lingine makini
"kutaneni tena ili kumwabudu BWANA sawa na kusanyiko la siku ya kwanza "
# Sadakailiyotengenezwa kwa moto
"mtaiteketeza kwenye madhabahu"