sw_tn/num/21/17.md

13 lines
371 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# enyi visima, yajazeni maji
"enyi maji, vijazeni visima"
# Kisima ambacho viongozi wetu walichimba, kisima ambacho wenye hekima walichimba
Virai hivi viwili vivnamaanisha kitu kile kile, vimetumika kusisitiza wajibu wa viongozi kwa jukumu la kuchimba visima.
# kwa fimbo ya kifalme na kwa fimbo ya kutembelea
"wakitumia hata fimbo zao za kifalme na za kutembelea"