sw_tn/num/08/16.md

17 lines
422 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kila mzaliwa wa kwanza afunguaye tumbo, mzaliwa wa kwanza.
Virai hivi viwili vinamaanisha jamabo lilelile ili kutoa msisitizo wa mzaliwa wa kwanza.
# mtoto wa kiume afunguaye tumbo
"mtoto wa kiume ambaye ni mzaliwa wa kwanza kwa mama"
# nilipowachukua
Hii ni tafsida inayotumika kuonyesha kitendo cha mtu anapomwua mtu. "Nilipomwua"
# Niliwatenga
Kiwakilishi "wa" kinawawakilisha wazaliwa wa kwanza wa Israeli."