forked from WA-Catalog/sw_tn
13 lines
293 B
Markdown
13 lines
293 B
Markdown
|
# Taarifa kwa ujumla
|
||
|
|
||
|
BWANA anaenedelea kumwambia Musa mahali ambapo kila kabila na jeshi lao litakapoweka kambi kuizunguka hema ya kukutania.
|
||
|
|
||
|
# Wote waliohesabiwa katika kambi ya Efraimu ni 108,100
|
||
|
|
||
|
Idadi ya wanaume waliokuwa wameweka kambi mahali pa Efraimu ni 108,100.
|
||
|
|
||
|
# wa tatu
|
||
|
|
||
|
"wa 3"
|
||
|
|