sw_tn/neh/03/16.md

37 lines
642 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nehemia mwana wa Azbuki, mtawala
Nehemia alikuwa mtawala, si Azbuki.
# Nehemia
Huyu ni mtu tofauti aitwaye Nehemia kutoka kwa mtu aliyeandika kitabu hiki.
# mtawala
"msimamizi mkuu" au "kiongozi"
# nusu ya wilaya
"Nusu" ina maana sehemu moja kati ya sehemu mbili sawa
# Nehemia...Azbuki...Rehumi....Hashabia
Haya ni majina ya watu.
# Beth-suri...Keila
Haya ni majina ya mahali
# kujenga mahali... Walawi walijenga
Maneno haya yanataja kutengeneza ukuta. AT "aliandaa ukuta hadi mahali ... Walawi walijenga ukuta"
# watu wenye nguvu
"wapiganaji"
# kwa wilaya yake
"anayewakilisha wilaya yake" au "kwa niaba ya wilaya yake"