forked from WA-Catalog/sw_tn
17 lines
649 B
Markdown
17 lines
649 B
Markdown
|
# fungua macho yako
|
||
|
|
||
|
Nehemiya anasema kama Mungu anamtazama yeye akipenda kama Mungu angepoufungua macho na kumtazama. AT "kuangalia mimi' au 'makini na mimi"
|
||
|
|
||
|
# ili uweze kusikia sala ya mtumishi wako
|
||
|
|
||
|
"ili uisikie maombi ambayo mimi, mtumishi wako, ninaomba." Neno 'mtumishi' linamaanisha Nehemia. Hii ndivyo mtu anavyoweza kumtambulisha mkuu wake ili kuonyesha unyenyekevu na heshima.
|
||
|
|
||
|
# mchana na usiku
|
||
|
|
||
|
Kwa kusema kwamba anaomba wote wakati wa mchana na wakati wa usiku, Nehemia anasisitiza mzunguko wa sala zake. AT "wakati wote"
|
||
|
|
||
|
# Wote mimi na nyumba ya baba yangu
|
||
|
|
||
|
Hapa neno "nyumba" linawakilisha familia. AT "Wote mimi na familia yangu"
|
||
|
|