sw_tn/nam/01/09.md

29 lines
506 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla
Nahumu anawaambia watu wa Ninawi jinsi ambavyo Yahwe atawashughulikia.
# atakomesha
"kuacha kabisa kufanya"
# taabu haitainuka mara ya pili
"Hatakushambulia kwa mara ya pili"
# Watakuwa....chao
Nahumu anazungumza kwa Waisraeli kwa ufupi juu ya watu wa Ninawi.
# watakuwa wamevurugika kama michongoma
"kabiliwa na matatizo mengi ambayo yatawazuia kuvamia"
# wataharibiwa kabisa
Yahwe ataiharibu kabisa Ninawi yote
# aliimarisha uovu
aliwahamasisha watu kufanya mambo maovu