forked from WA-Catalog/sw_tn
29 lines
830 B
Markdown
29 lines
830 B
Markdown
|
# Sisi sote hatuna baba mmoja? Hatuna Mungu mmumbaji mmoja?
|
||
|
|
||
|
"haya Maswali ni kuonyesha kukemea. "Sisi sote kwa hakika tunaye baba mmoja, Mungu wetu aliyetuumba sisi!"
|
||
|
|
||
|
# Kwa nini tuna hila kila mmoja na ndugu yake, na kulikufuru agano la baba zetu?
|
||
|
|
||
|
hii pia ni kukemea. Hatupaswi hakika kuwatendea ndugu zetu na kutokuheshimu agano la Mungu na kutotii amri zake!"
|
||
|
|
||
|
# mnafanya hila
|
||
|
|
||
|
kutomtii Mungu
|
||
|
|
||
|
# Kwa ajili ya Yuda ameliharifu mahali patakatifu pa Bwana
|
||
|
|
||
|
"Wanaume wa Yuda hawakutii hekalu la Mungu"
|
||
|
|
||
|
# na ameoa binti wa mungu mgeni
|
||
|
|
||
|
"na wameoa wanawake kutoka katika mataifa yanayoabudu miungu."
|
||
|
|
||
|
# kila ukoo wa mtu ambaye amefanya haya
|
||
|
|
||
|
"Kila watoto na wajukuu wa mtu yeyote aliyefanya haya"
|
||
|
|
||
|
# hata mmoja aliyeleta sadaka kwa Bwana wa majeshi
|
||
|
|
||
|
"hata kama mtu wa dhambi akileta sadaka kwa Mungu lakini hakutubu dhambi zake"
|
||
|
|