forked from WA-Catalog/sw_tn
30 lines
894 B
Markdown
30 lines
894 B
Markdown
|
# Maelezo ya Kuunganisha
|
||
|
|
||
|
Yahweh anaendelea kumwambia mMusa yawapasayowatun kutenda.
|
||
|
|
||
|
# katika siku hiyo
|
||
|
|
||
|
"katika siku ya upatanisho"
|
||
|
|
||
|
# Hii itakuwa amri ya kudumu katika vizazi vyote vya watu wenu
|
||
|
|
||
|
Tazama katika sura ya 3:15
|
||
|
|
||
|
# Sabato ya pumziko makini
|
||
|
|
||
|
Hii haikuwa Sabato ile ambayo waliishika kila juma katika siku ya saba. Hii ilikuwa ni sabato maalum katika siku ya upatanisho.
|
||
|
|
||
|
# yapasa mjinyenyekeze
|
||
|
|
||
|
katika jambo hili, kujinyeyekeza wenyewe kulimaanisha kwamba wasingeku
|
||
|
*la chakula chochote. Hii yweza kutmkwa wazi. : "Yapasa kujinyenyekeza wenyewe na msile kitu cho chote.
|
||
|
|
||
|
# siku ya tisa ya mwezi
|
||
|
|
||
|
hii humaanisha mwezi wa saba katika kalenda ya Kiebrania. Siku ya tisa ni karibu na mwishoni mwa mwezi wa Septemba katika kalenda ya Magharibi. Hii yaweza kufanywa wazi. : "siku ya tisa ya mwezi wa saba"
|
||
|
|
||
|
# Tangu jioni hata jioni
|
||
|
|
||
|
"Tangu machweo mpaka machweo kwenye siku inayofuata"
|
||
|
|