sw_tn/lev/18/26.md

17 lines
426 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# aina yoyote ya mambo haya ya machukizo
"lolote haya mambo ya kuchukiza"
# haya ya machukizo
Hii iinamaanisha "mambo haya ya machukizo."
# Kwa hiyo, muwe waangalifu
"Kwa hiyo basi iwenu waangalifu"
# ili kwamba nchi isiwatapike nyinyi baada ya kuwa mmeinajisi, kama ilivyowatapika wale watu
Tazama maelezo ya sura 18:24. : "ili kwamba ninawaondoa kwa nguvu mtoke katika nchi...kama nilivyowaondoa kwa nguvu hao watu"