sw_tn/lev/04/16.md

13 lines
285 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa ujumla
Yahweh anaendelea kumwambia Munsa yawapasayo watu kutenda.
# Kuhani aliyepakwa mafuta ataleta damu
Inamaanisha kwamba huyo kuhani aliikinga damu kwenye bakuli ilipotiririka
# mbele ya pazia.
Inamaanisha kwamba hili ni pazia mbele ya patakatifu pa patakatifu