forked from WA-Catalog/sw_tn
17 lines
445 B
Markdown
17 lines
445 B
Markdown
|
# Ameziba njia yangu
|
||
|
|
||
|
"alinizuia kuto mtoroka"
|
||
|
|
||
|
# mawe ya kuchonga
|
||
|
|
||
|
mawe mtu aliyo yakata katika maumbo yakulingana yanayo ingiliana na kuimarisha ukuta
|
||
|
|
||
|
# mawe; amefanya njia yangu mbaya
|
||
|
|
||
|
Maana inayo wezekana ni 1) "mawe, hivyo siwezi kwenda sehemu" au 2) "mawe; kila njia ninayo ichukuwa haiende mahali"
|
||
|
|
||
|
# amegeuza pembeni njia zangu
|
||
|
|
||
|
Maana inayo wezekana ni 1) "amenivuta nje ya njia" au 2) "kasababisha njia yangu kwenda kumelekeo mbaya"
|
||
|
|