forked from WA-Catalog/sw_tn
13 lines
432 B
Markdown
13 lines
432 B
Markdown
|
# kwa mkono wa Musa
|
||
|
|
||
|
Hapa neno "mkono" linarejelea maandiko ambayo Musa aliyaandika. "kupitia mambo ambayo Musa aliyaandika"
|
||
|
|
||
|
# akiua mtu bila kukusudia
|
||
|
|
||
|
Hii hutokea pale ambapo mtu humwua mtu mwingine bila kunuia kufanya hivyo.
|
||
|
|
||
|
# kulipiza kisasi kwa damu ya mtu aliyeuliwa kulipiza kisasi kwa damu ya mtu aliyeuliwa
|
||
|
|
||
|
Hapa kumwaga damu ya mtu kuna maana ya kifo. Muundo tendaji unaweza kutumika."kulipiza kisasi cha kifo cha mtu"
|
||
|
|