sw_tn/jos/17/09.md

21 lines
395 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mpaka
"Mpaka wa nchi ya Manase"
# kijito
sehemu ndogo ya mto
# Kana
Jina la kijito
# Kwa upande wa kaskazini ulifika hata Asheri
Maana zinakubalika ni a) mpaka wa nchi ya Manase ulifika na kugusua nchi ya kabila la Asheri b)ambayo waweza kusafiri kutoka Kaskazini na kufika Asheri.
# upande wa mashariki, Isakari
Kitenzi huenda ni kile kile ambacho kimetolewa virai vilivyotangulia.