forked from WA-Catalog/sw_tn
25 lines
809 B
Markdown
25 lines
809 B
Markdown
|
# walimwambia Yona
|
||
|
|
||
|
"watu waliokuwa katika meli wakamwambia Yona" au "wasafiri walimwambia Yona"
|
||
|
|
||
|
# tukutendee wewe ili kwamba Bahari iweze kutulia
|
||
|
|
||
|
"kufanya nawe ili kufanya bahari kuwa tulivu" (UDB)
|
||
|
|
||
|
# bahari ilikuwa imechafuka zaidi na zaidi.
|
||
|
|
||
|
Hii ndiyo sababu watu waliuliza Yona nini wanapaswa kufanya. Sababu pia inaweza kupatikana mwanzoni mwa mstari wa 11 katika UDB.
|
||
|
|
||
|
# kwa maana najua kwamba ni kwa sababu yangu kwamba tufani hii kubwa iwapate
|
||
|
|
||
|
kwa sababu najua dhoruba hii kubwa ni kosa langu'
|
||
|
|
||
|
# Hata hivyo, watu hao wavuta makasia kwa bidii ili kurudi nchi kavu
|
||
|
|
||
|
Watu hawakutaka kumtupa Yona ndani ya bahari, kwa hiyo wakapiga kasia kwa nguvu kama vile wanalima ndani ya maji ili kurudi kwenye nchi
|
||
|
|
||
|
# bahari ikawa imechafuka zaidi na zaidi
|
||
|
|
||
|
"dhoruba ikawa mbaya zaidi, na mawimbi yakawa kubwa"
|
||
|
|