sw_tn/job/41/01.md

25 lines
650 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla
Mungu anaendelea kuzungumza. Anatumia maswali mengi ya kejeli kumtia changamoto Ayubu.
# Au kumfunga taya zake kwa kamba?
"Hauwezi kumvua mamba kwa ndoano ya samaki"
# Au kumfunga taya zake kwa kamba?
Hii si sentensi kamili, lakini maana yake yaweza kufahamika kutoka katika muktadha kama " Au kumfunga taya zake kwa kamba? "au hauwezi kumfunga taya kwa kamba.
# Je waweza kuweka kamba katika pua zake
"Hauwezi kuweka kamba katika pua yake, au kuchoma taya zake kwa ndoano"
# Je atafanya maombi mengi kwako?
"Hawezi kufanya maombi kwako"
# Je atazungumza na wewe kwa maneno laini?
"Hataweza kuzungumza maneno laini"