sw_tn/job/40/17.md

13 lines
302 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kama mti wa mwerezi
"namna ambayo matawi ya mierezi yanavyokwenda.'
# kama ya mirija ya shaba
Mahali hapa, mifupa yake inalinganishwa na mirija iliyotengenezwa kwa shaba ili kuonesha jinsi mnyama alivyo mgumu
# kama kipande cha chuma
Huu mlinganisho wa mwisho unaelezea nguvu za mnyama mkubwa.