forked from WA-Catalog/sw_tn
21 lines
770 B
Markdown
21 lines
770 B
Markdown
|
# Sentensi Unganishi
|
||
|
|
||
|
Ayubu anaendelea kuongea
|
||
|
|
||
|
# Watu hawa msikini huenda kwenye kazi zao mithili ya punda mwitu kwenye nyika, wakitafuta chakula kwa bidii
|
||
|
|
||
|
watu hawa ambao ni masikini wanaongelewa kana kwamba ni punda mwitu wasiojua ni wapi watapata chakula. KTN: "watu hawa masikini huenenda wakitafuta chakula kama vile punda mwitu kwenye nyika"
|
||
|
|
||
|
# punda mwitu
|
||
|
|
||
|
"punda wasiomilikiwa na mtu au kuangaliwa"
|
||
|
|
||
|
# watu masikini huvuana usiku ... wanakimulika zabibu.
|
||
|
|
||
|
hii mistari miwili inaeleza jambo moja na yote inasisitiza kwamba watu hawa wananjaa sana hivyo wanalazimika kuiba chadkula wakati wa usiku.
|
||
|
|
||
|
# Hulala uchi ...hawana cha kujifunika
|
||
|
|
||
|
hii mistari miwili inaeleza jambo moja na yote inasisitiza kwamba watu hawa hawana mavazi ya kutosheleza kujisitili.
|
||
|
|