forked from WA-Catalog/sw_tn
33 lines
913 B
Markdown
33 lines
913 B
Markdown
|
# habari za Jumla:
|
||
|
|
||
|
Ayubu anaendelea kuzungumza kwa rafiki zake watatu.
|
||
|
|
||
|
# Pumzi yangu mimi ni chukizo kwa mke wangu;
|
||
|
|
||
|
Katika sentensi hii neno "pumzi" linawakilisha harufu ya pumzi yake yeye. Kama mtu fulani analaumika kwa mtu mwingine, ina maanisha kwamba yeye anaichukia. "Mke wangu anaichukia harufu ya kinywa changu"
|
||
|
|
||
|
# wale ambao walizaliwa kutoka katika tumbo la mama yangu mimi.
|
||
|
|
||
|
Ayubu anamaanisha kaka zake na dada zake kwa njia hii kuonyesha kwamba wao ni watu ambao wanapaswa kumpenda yeye."kaka zangu mimi mwenyewe" au"kaka zangu na dada zangu"
|
||
|
|
||
|
# wananichukia mimi;
|
||
|
|
||
|
"kunichukia mimi" au kunitenga mimi"
|
||
|
|
||
|
# huzungumza dhidi yangu mimi.
|
||
|
|
||
|
"wao wananikejeli mimi" au" wananicheka mimi"
|
||
|
|
||
|
# Rafiki zangu wote
|
||
|
|
||
|
"rafiki zangu wote wa karibu" au"rafiki zangu wote ambao huwaambia mambo yangu ya siri"
|
||
|
|
||
|
# huzungumza dhidi yangu mimi
|
||
|
|
||
|
"wamenichukia mimi"
|
||
|
|
||
|
# wamegeuka kinyume na mimi.
|
||
|
|
||
|
"wamenisaliti mimi"
|
||
|
|