forked from WA-Catalog/sw_tn
21 lines
968 B
Markdown
21 lines
968 B
Markdown
|
# Sofari Mnaamathi
|
||
|
|
||
|
Sofari kutoka sehemu ya Naamathi
|
||
|
|
||
|
# Huo wingi wa maneno haupaswi kujibiwa?
|
||
|
|
||
|
Sofari anauliza swali kinyume chake kusisitiza kuwa maneno ya Ayubu lazima yakosolewe."Ni lazima tuyajibu maneno haya yote" au "Mtu yeyote angeyajibu mameno haya yote"
|
||
|
|
||
|
# Mtu huyu, aliyejaa maneno mengi awe wa kuaminiwa?
|
||
|
|
||
|
Sofari anatumia swali hili kusisitiza kuwa hawapaswi kuamini kile ambacho Ayubu anachosema. "Mtu huyu amejaa maneno mengi , lakini yeye watu hawapaswi kumwamini" au " Maneno yako mengi peke yake hayamaanishi huna hatia."
|
||
|
|
||
|
# Kujivuna kwako kunapaswa kuwafanya wengine wabaki wamenyamaza? "Umeyadharau mafundisho yetu.Sasa tutakufanya wewe ujisikie mweye aibu!
|
||
|
|
||
|
Sofari anatumia swali hili kumkemea Ayubu."Kwa sababu wewe umeongea maneno mengi, hii haimaanishi kuwa wengine lazima wabaki wamenyamaza."
|
||
|
|
||
|
# Wakati unapoyadhihaki mafundisho yetu, hakuna awaye yote atakayekufanya wewe ujisikie mwenye aibu?
|
||
|
|
||
|
Sofari anatumia swali hili kumkemea Ayubu "
|
||
|
|