sw_tn/jer/32/33.md

29 lines
548 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla:
Yahwe anaendelea kusema kwa Yeremia.
# Wamenigeuzia migongo yao badala ya nyuso zao.
"Watu wangu wamenipuuza.
# Kupokea marekebisho.
"Hakuna hata mmoja aliyekuwa tayari kujifunza kutoka kwangu."
# Watafanya mambo maovu
"Sanamu zao ambazo nazichukia."
# Nyumba inayoitwa kwa jina langu.
"Nyumba ambayo ni yangu kabisa."
# Bonde la Ben Hinomu.
Angalia
# Sikuweka akilini mwangu.
Hapa neno "akilini" linamaanisha mawazo ya Yahwe. Ni kitu ambacho hakuwa kukifiria kuwa watu wake watakifanya, lakini sasa wanakifanya.