sw_tn/isa/57/13.md

17 lines
494 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza kwa watu wasio waaminifu wa Israeli.
# acha kusanyiko lako la sanamu likuokoe
Yahwe anawadhihaki watu na sanamu zao. Anaziambia sanamu kuwaokoa watu ingawa anajua haziwezi.
# upepo utaubeba wote mbali, pumzi itazibeba zote mbali
Hii ni kusema jambo moja kwa njia mbili kusisitiza ya kwamba sanamu hazijiwezi na hazina thamani. "upepo, hata pumzi, itazipuliza mbali"
# mlima mtakatifu
"Mlima matakatifu" ni Mlima Sayuni, katika Yerusalemu.