sw_tn/isa/57/06.md

13 lines
354 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza kwa watu wasio waaminifu wa Israeli.
# ambavyo vimegawiwa kwako
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. Maana hasa katika iiebrania haipo wazi. "hilo ni fungu lako" au "huo ni urithi wako"
# Je! nifurahi katika hivi vitu ?
Yahwe anatumia swali kukaripia watu. "Hakika, vitu hivi havinifurahishi"