forked from WA-Catalog/sw_tn
25 lines
840 B
Markdown
25 lines
840 B
Markdown
|
# Maelezo ya Jumla
|
||
|
|
||
|
Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Yerusalemu.
|
||
|
|
||
|
# Aliyeteswa
|
||
|
|
||
|
Hapa Yahwe anazungumzia mji wa Yerusalemu kana kwamba ulikuwa ukimsikiliza. Hapa Yerusalemu inawakilisha watu ambao wanaishi pale. "nyie watu mlioteswa wa Yerusalemu"
|
||
|
|
||
|
# aliyeendeshwa kwa dhoruba
|
||
|
|
||
|
kuendeshwa** Yahwe anazungumzia watu kana kwamba walipulizwa na kuharibiwa kwa upepo na dhoruba. Hii ina maana ya watu kuumizwa na kukosa uthabiti.
|
||
|
|
||
|
# asiyefarijika
|
||
|
|
||
|
"bila faraja"
|
||
|
|
||
|
# Nitatengeneza njia yako ya miguu katika rangi ya feruzi ... ukuta wa mawe mazuri
|
||
|
|
||
|
Yahwe anafafanua katika maneno ya kiufundi jinsi atakavyorejesha Yerusalemu na kusababisha iwe nzuri tena. Ingawa lugha inaweza kukuzwa.
|
||
|
|
||
|
# feruzi ... johari... rubi
|
||
|
|
||
|
Hivi ni vito vya thamani. Feruzi ni rangi ya bluu ya kijani, johari na bluu iliyoiva, na rubi ni rangi nyekundu iliyopauka.
|
||
|
|