sw_tn/isa/33/02.md

17 lines
450 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kuwa mkono wetu
Hapa mkono wa Yahwe una maana ya nguvu yake. Hii inazungumzia Yahwe kuwaimarisha kana kwamba Yahwe angetumia nguvu yake kutenda kwa ajili yao. "tupatie nguvu"
# kila asubuhi
Hii ina maana ya siku nzima, sio asubuhi tu. "kila siku"
# wokovu wetu
Neno "wokovu" linaweza kuelezwa kwa kitenzi "okoa". "uwe wokovu wetu" au "tuokoe"
# katika kipindi cha shida
Hii in maana ya kipindi ambapo wanapatia shida. "tunapokuwa na shida"