sw_tn/isa/30/29.md

29 lines
864 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla
Isaya anaendelea kuzungumza na watu wa Yuda.
# Utakuwa na wimbo
Hii inaweza kuandikwa ili kwamba nomino dhahania "wimbo" inaelezwa kama kitenzi. "Utaimba"
# kama usiku ambapo sikukuu takatifu inazingatiwa
Tashbihi hii inasisitiza jinsi watu watakavyokuwa na furaha.
# ambapo sikukuu takatifu inazingatiwa
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "utakapozingatia sherehe takatifu"
# na furaha ya moyo
Hapa "moyo" unawakilisha uanadamu wa ndani wa mtu. "nawe utakuwa na furaha"
# kama pale mtu huenda ... Mwamba wa Israeli
Tashbihi hii inasisitiza jinsi watu watakavyokuwa na furaha.
# kwa Mwamba wa Israeli
Yahwe kuwa na nguvu ya kulinda watu wake inazungumziwa kana kwamba alikuwa mwamba ambao watu wanaweza kupanda na kutoroka kutoka kwa adui. "kwa mwamba wa ulinzi wa Israeli" au "ambao ni kama mwamba wa ulinzi wa Israeli"