sw_tn/hos/11/10.md

21 lines
480 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla:
Bwana anazungumza kuhusu lini atawakomboa watu wake.
# Watanifuata, Bwana
Kumuabudu na kumuheshimu Bwana kunazungumzwa kama kitendo cha kumfuata nyuma yake.
# Nitanguruma kama simba
Bwana atawafanya watu wake warudi kwenye nchi yake na kitendo hiki kimezungunzwa kama kitendo cha kuitwa.
# Watakuja wakitetemeka kama ndege ... kama njiwa
Watarudi nyumbani mapema kama vile ndege anavyorudi kwenye kiota chake.
# tamko la Bwana
"ambalo Bwana anasema"