sw_tn/hos/10/07.md

17 lines
505 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mfalme wa Samaria ataangamizwa
"Waashuru watamwangamiza mfalme wa Samaria"
# kama chipu cha kuni juu ya uso wa maji
Hii ina maana kuwa mfalme wa Samaria atakuwa hawezi kitu kama kipande kidpgo cha kuni kinachoelea juu ya maji"
# Sehemu za juu za uovu zitaharibiwa
"Waashuru wataharibu sehemu za juu za Israeli ambazo watu walifanya uovu"
# Watu wataiambia milima, "Tufunike sisi!" na kwa vilima, "Tuangukieni!"
"'watu watasema 'tunatamani milima itufunike!' na 'tunatamani vilima vituangukie!'"