forked from WA-Catalog/sw_tn
21 lines
754 B
Markdown
21 lines
754 B
Markdown
|
# Taarifa ya julma:
|
||
|
|
||
|
Nabii Hosea anazungumza.
|
||
|
|
||
|
# Siku za adhabu zinakuja; siku za kulipiza kisasi zinakuja
|
||
|
|
||
|
Hosea amesema kitu kile kile ili kusisitiza kuwa Bwana anakuja kuwahukumu watu wa Israeli kwa matendo yao maovu.
|
||
|
|
||
|
# Nabii ni mpumbavu, na mtu aliyevuviwa ni mwendawazimu
|
||
|
|
||
|
Sentensi hii yaweza kuwa na maana 1) watu waliwaona manaabii kama wapumbavu au 2) manabii walichanganyikiwa kwa sababu ya dhambi zilizofanywa na watu.
|
||
|
|
||
|
# Nabii ni mpumbavu, na mtu aliyevuviwa ni mwendawazimu
|
||
|
|
||
|
"nabii" na "mtu aliyevuviwa" zote zinamaanisha ni mtu anayesema kuwa amepokea ujumbe kutoka kwa Mungu.
|
||
|
|
||
|
# kwa sababu ya uovu wako mkubwa na uadui mkubwa
|
||
|
|
||
|
"uovu mkubwa" na "uadui mkubwa" vina maana moja. Uovu wa watu unapelekea uadui dhidi ya Bwana na manabii wake.
|
||
|
|