sw_tn/hos/07/10.md

25 lines
521 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla:
Bwana anazungumza.
# Kiburi cha Israeli kinawashuhudia
Hii inamaanisha kwamba tabia yao ya kiburi inaonesha kwamba wana makosa ya kutomtii Bwana.
# wala hawakumtafuta
Israeli waliacha kumtafuta Bwana.
# licha ya hayo yote
Hapa "hayo" inamaanisha kitendo cha Mungu kuwaruhusu wageni wawashinde na kuwafanya dhaifu.
# Efraimu ni kama njiwa, baradhuli na asiye na busara
Njiwa wanadhaniwa kuwa ni ndege wajinga.
# Misri ... Ashuru
Haya ni mataifa yenye nguvu ambayo Israeli wangeomba msaada.