sw_tn/hos/07/08.md

21 lines
624 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla:
Bwana anazungumza.
# Efraimu anajichanganya mwenyewe kati ya watu
Hii inaelezea namna ambavyo wafalme wa falme za kaskazini walifanya kwa bidii kujichanganya na mataifa mengine kwa ajili ya ulinzi dhidi ya uvamizi.
# Efraimu ni mkate ambayo haujawahi kugeuzwa
Efraimu ni ufalme wa Kaskazini wa Israeli. Taifa dhaifu kama mkate ambao haujageuzwa na mwokaji ili uwe na nguvu.
# Nywele za mvi hunyunyiza juu yake
"nywele za mvi" zinawakilisha umri mkubwa.
# lakini hajui
Huu "umri mkubwa" inaonesha wazi kuwa ufalme wa kaskazini ulikuwa dhaifu siku hata siku lakini mataifa hayajui kuwa inazeeka.