sw_tn/hag/01/03.md

21 lines
521 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kwa mkono wa Haghai
"Ulikuja kupitia maneno" (au 'mdomo') wa Haghai
# ni wakati wenu wa kukaa kwenye nyumba zenu zilizokamilika?
Tazama UDB
# wakati nyumba hii inaharibika
Neno "Nyumba" hapa inamaanisha hekalu ya Mungu.
# lakini usilewe
Hapa aya hii haimaanishi kuwa kulewa siyo kitu kizuri. Badala yake hakuna mvinyo unaoweza kukidhi kiu ya watu na haitoshi kwa kunywa.
# mishahara mnayopata ya fedha mnaweka kwenye mfungo ambao umejaa mashimo
"pesa unayotengeneza kazini haiwezi kukunulia vitu vya kutosha"