forked from WA-Catalog/sw_tn
29 lines
827 B
Markdown
29 lines
827 B
Markdown
|
# Maelezo ya Jumla
|
||
|
|
||
|
Yusufu anaendelea kumshauri Farao.
|
||
|
|
||
|
# Na wakusanye
|
||
|
|
||
|
"Waruhusu wageni kukusanya"
|
||
|
|
||
|
# cha hii miaka myema ijayo
|
||
|
|
||
|
Hii inazungumzia miaka kana kwamba ni kitu kinachosafiri na kufikia mahali. "katika miaka mizuri ambayo hivi karibuni itatokea"
|
||
|
|
||
|
# kuitunza nafaka chini ya mamlaka ya Farao
|
||
|
|
||
|
Msemo "chini ya mamlaka ya Farao" ina maana ya Farao kuwapa mamlaka. "tumia mamlaka ya Farao kutunza nafaka"
|
||
|
|
||
|
# Wakiifadhi
|
||
|
|
||
|
Hifadhi nafaka kwa muda wakati ambao kuna chakula kidogo. "Wasimamizi wanatakiwa kuwaacha walinzi pale kulinda nafaka"
|
||
|
|
||
|
# Chakula kitakuwa akiba ya nchi
|
||
|
|
||
|
Hapa "nchi" ina maana ya watu. "Chakula hiki kitakuwa kwa ajili ya watu"
|
||
|
|
||
|
# Kwa njia hii nchi haitaaribiwa na njaa
|
||
|
|
||
|
Hapa "nchi" ina maana ya watu. Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Kwa njia hii watu hawatashinda njaa kipindi cha njaa"
|
||
|
|