forked from WA-Catalog/sw_tn
17 lines
509 B
Markdown
17 lines
509 B
Markdown
|
# Mkuu wa waokaji
|
||
|
|
||
|
Hii ina maana ya mtu kiongozi aliyetengeneza chakula cha mfalme.
|
||
|
|
||
|
# Mimi pia niliota ndoto, na
|
||
|
|
||
|
"Mimi pia nilipata ndoto, na ndani ya ndoto yangu"
|
||
|
|
||
|
# tazama, vikapu vitatu vya mikate vilikuwa juu ya kichwa changu
|
||
|
|
||
|
"kulikuwa na vikapu vitatu vya mikate juu ya kichwa changu!" Mwokaji anatumia neno "tazama" hapa kuonyesha ya kwamba alishangazwa kwa kile alichokiona ndani ya ndoto yake na kumuamsha Yusufu kuvuta nadhari.
|
||
|
|
||
|
# bidhaa ya kuokwa kwa Farao
|
||
|
|
||
|
"alioka vyakula kwa ajili ya Farao"
|
||
|
|