sw_tn/gen/30/07.md

21 lines
580 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Bilha ... akashika mimba tena
"Bilha ... akawa mimba tena"
# na kumzalia Yakobo mwana wa pili
"na akazaa mtoto wa kiume wa pili kwa Yakobo"
# Kwa mashindano yenye nguvu nimeshindana na dada yangu
Msemo huu "mashindano nimeshindana" ni msemo unaotumiwa kwa msisitizo. Pia ni sitiari inayozungumzia jaribio la Raheli kupata mtoto kama dada yake kana kwamba alikuwa akigombana kimwili na Lea. "nimepambana sana kupata watoto kama dada yangu, Lea"
# na kushinda
"na nimeshinda" au "nimefaulu"
# Akamwita jina lake Naftali
"Jina la Naftali lina maana ya 'mapambano yangu'"