sw_tn/gen/29/15.md

17 lines
680 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Je unitumikie bure ... ndugu yangu?
Labani anatumia swali kusisitiza ya kwamba anatakiwa kumlipa Yakobo kwa kumtumika. Swali linawezakutafsiriwa kama kauli. Pia linaweza kuwekwa katika njia ya chanya. "Hakika ni sahihi ya kwamba nikulipe kwa kunitumikia ingawa wewe ni ndugu yangu."
# Basi Labani alikuwa
Neno "basi" linatumika hapa kuweka alama ya badiliko kutoka kwa simulizi kwenda kwa taarifa ya nyuma kuhusu Labani na binti zake"
# Macho ya Lea yalikuwa dhaifu
Maana zaweza kuwa 1) "Macho ya Lea yalikuwa mazuri" au 2) "Macho ya Lea yalikuwa ya kawaida"
# Yakobo alimpenda Raheli
Hapa neno "alimpenda" lina maana ya mvuto wa kimahaba kati ya mwanamume na mwanamke.