sw_tn/gen/24/66.md

9 lines
262 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# akamchukua Rebeka, na akawa mke wake
Misemo hii miwili ina maana ya kwamba Isaka alimuoa Rebeka. "na akamuoa Rebeka" au "na akamchukua kama mke wake"
# Kwa hiyo Isaka akafarijika
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Kwa hiyo Rebeka alimfariji Isaka"