forked from WA-Catalog/sw_tn
21 lines
832 B
Markdown
21 lines
832 B
Markdown
|
# Wewe ... yenu ... hamtakufa
|
||
|
|
||
|
Maneno haya yanamaanisha mwanamume na mwanamke na kwa hiyo yako katika matumizi mawili au wingi.
|
||
|
|
||
|
# macho yenu yatafumbuliwa
|
||
|
|
||
|
"macho yenu yatafumbuliwa." Lugha hii ina maana "utakuwa na utambuzi wa mambo." Maana hii yaweza kutajwa wazi. "Itakuwa kana kwamba macho yenu yamefumbuliwa"
|
||
|
|
||
|
# mkijua mema na mabaya
|
||
|
|
||
|
Hapa "mema na mabaya" ni msemo ambao unalenga maana zote mbili kabisa na kila kitu katikati. "kujua kila kitu, ikiwemo mema na mabaya"
|
||
|
|
||
|
# na kuwa unapendeza macho
|
||
|
|
||
|
"mti ulipendeza kutazama" au"ulikuwa mzuri kuangalia" au "au ulikuwa mzuri sana"
|
||
|
|
||
|
# na kwamba mti ulitamanika kwa kumfanya mtu awe mwerevu
|
||
|
|
||
|
"naye alitaka matunda ya mti kwa sababu ingeweza kumfanya mtu awe mwerevu" au "naye alitaka matunda yake kwa sababu yangemfanya kuelewa kipi kizuri na kibaya kama vile Mungu afanyavyo.
|
||
|
|