forked from WA-Catalog/sw_tn
37 lines
932 B
Markdown
37 lines
932 B
Markdown
|
# Sasa
|
||
|
|
||
|
Mwandishi anaanza sehemu mpya ya simulizi.
|
||
|
|
||
|
# mwerevu kuliko
|
||
|
|
||
|
"mjanja zaidi" au "mwenye akili ya kupata kile atakacho kwa kusema uongo"
|
||
|
|
||
|
# Je ni kweli Mungu amesema, 'Msile ... bustanini?
|
||
|
|
||
|
Nyoka anajifanya kushangazwa ya kwamba Mungu alitoa sheria hii. Swali hili la balagha laweza kutafsiriwa kama kauli. "Nashangaa ya kwamba Mungu, "Msile ... bustanini."
|
||
|
|
||
|
# Msile
|
||
|
|
||
|
Neno "msile" ni wingi na linamaasha mwanamume na mwanamke
|
||
|
|
||
|
# Twaweza kula ... Mungu amesema, 'msile'
|
||
|
|
||
|
Hawa alimwambia nyoka ambacho Mungu aliwaruhusu kufanya kwanza na kisha kile Mungu alichowazuia kufanya. Baadhi ya lugha zingesema kile walichozuiwa kufanya kwanza na kisha kusema kile walichoruhusiwa kufanya.
|
||
|
|
||
|
# Twaweza kula
|
||
|
|
||
|
"Tunaruhusiwa kula" au "Tunayo ruhusa ya kula"
|
||
|
|
||
|
# Msile ... wala ... mtakufa
|
||
|
|
||
|
Neno "msile" ni wingi na linamaasha mwanamume na mwanamke
|
||
|
|
||
|
# Msile
|
||
|
|
||
|
"Hampaswi kula" au "Msile"
|
||
|
|
||
|
# msiuguse
|
||
|
|
||
|
"na hampaswi kuigusa" au "na msiuguse"
|
||
|
|