sw_tn/ezk/44/20.md

25 lines
513 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa nyumba ya Israeli kuhusu uzao wa Zadoki ambao ulitumika kama makuhani.
# nyoa
kata nywele za mtu kuwa fupi ili iwezekane kuona ngozi ya kichwa
# punguza nywele za vichwa vyao
"kata nywele juu ya vichwa ili ziweze kuwa ndefu au ndefu wala fupi"
# mjane
mwanamke ambaye amefiwa na mume wake
# kutoka kwenye mstari wa nyumba ya Israeli
"ambaye uzao wake ni watu wa Israeli"
# nyumba ya Israeli
Tazama tafsiri yake katika sura ya 3:1