sw_tn/ezk/36/26.md

37 lines
587 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa Israeli.
# moyo mpya na roho mpya
Tazama tafsiri yake katika sura ya 11:19.
# katika sehemu zenu za ndani
"ndani yenu"
# moyo wa jiwe
Hii inalinganishwa na mioyo ya ukaidi na moyo wa jiwe.
# nyama zako
"mwili wako"
# mwili wa nyama
Huu ni moyo ambao sio mkaidi, lakini unatamani kumtii Mungu.
# tembea katika maagizo yangu
Tazama tafsiri yake katika sura ya 11:9.
# tunza maagiza yangu, hivyo utawafanya
"utayashika maagizo yangu na kuyafanya"
# watu wangu
Tazama tafsiri yake katika sura ya 11:19