sw_tn/ezk/34/25.md

41 lines
788 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa watu wa Israeli.
# agano la amani
"agano lile liletalo amani"
# wanyama waovu wa porini
Hawa ni wanyama wa porini ambao waliwaua kondoo na mbuzi.
# Pia nitaleta baraka juu yao na juu ya maeneo yazungukao kilima changu
Baadhi ya matolea ya kisasa yanatafsiri "pia nitawarudisha na maeneo yanayozunguka kilima changu kwenye baraka."
# katika wakati wake
"kwa wakati sahihi"
# Hizi zitakuwa mvua za baraka
"Hii mvua itatolewa kama baraka"
# na dunia itashindwa kuzaa matunda yake
"nchi itaotesha chakula" Chakula kitamea juu ya nchi
# wataokoka
"watakuwa salama"
# watajua yakwamba mimi ndimi Yahwe
Tazama tafsiri yake katika sura ya 6:6.
# fito za kongwa zao
"fito zinazoshikilia kongwa zao pamoja"