sw_tn/ezk/30/17.md

21 lines
391 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Haya ni maneno ya Yahwe kuhusu Misri.
# Heliopolisi na Pi-besethi
Hii ilikuwa miji katika upande wa kaskazini mwa Misri.
# ataanguka kwa upanga
Neno "upanga" limetumika kurejea kwa mapambano au vita" au "watakufa kwa upanga."
# miji yao itakwenda kwenye utumwa
"watu wa miji yao watakuwa mateka"
# Tapanesi
Huu ulikuwa mji wa muhimu katika kaskazini mwa Misri.