sw_tn/ezk/30/13.md

37 lines
613 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Bwana Yahwe asema hivi
Tazama tafsri yake katika sura ya 5:5.
# nitaleta mwisho wa sanamu za ubatili
"angamiza sanamu zisizo na maana"
# Memfizi
Memfizi ulikuwa mji muhimu sana katika Misri. Ulikuwa karibu na Kairo ya mpya.
# mwana mfalme katika nchi ya Misri
"mtawala muhimu katika nchi ya Misri"
# nitaweka hofu katika nchi ya Misri
"nitawafanya watu wa Misri kuogopa sana"
# Pathrosi
Huu ulikuwa mkoa katika kusini mwa Misri.
# kuweka moto katika Soani,
"nitaichoma Soani kwa moto"
# Soani
Soani ulikuwa mji mwingine muhimu katika Misri.
# Thebesi
Huu ulikuwa mji mkuu wa kusini mwa Misri.