sw_tn/ezk/26/07.md

21 lines
319 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Tazama!
"Ona!" "Sikia!"
# namleta Nebukadreza
Mungu anamtumia Nebukadreza kuleta kuhusu mapenzi yake.
# mfalme wa waflme
"mfalme mwenye nguvu zaidi"
# watu wengi sana
Haya maelezo yansisitiza ukubwa wa jeshi la Nebukadneza.
# Atawaua mabinti zako
Hapa neno "Yeye" linamrejea Nebukadreza ni mfano kwa jeshi.