sw_tn/ezk/05/13.md

21 lines
536 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kunena na watu wa Israeli na Yuda.
# ghadhabu yangu itatimia
"sitakuwa na hasira tena kwa sababu nimefanya kila kitu nilichotaka kukifanya kwa sababu nilikuwa na njaa"
# nitaifanya ghadhabu yangu juu yao hata kulala
Neno "ghadhabu" maana yake hasira kali sana, na hapa inarejelea kwa adhabu. "nitaacha kukuadhibu kwa sababu nimewaadhibu kwa uaminifu."
# nitaridhika
"nitaridhika kwamba nimewaadhibu mno"
# wakati nitakapokamilisha ghadhabu yangu juu yao
"wakati nitakapomaliza kuwaadhibu"